NAFASI MPYA ZA AJIRA SERIKALINI (WIZARA YA FEDHA NA HALMASHAURI YA MJI WA BARIADI). ZICHEKI HAPA

HALMASHAURI YA MJI WA BARIADI.

TANGAZO LA KAZI



Mkurugenzi wa halmashauri ya mjiwa wa bariadi anatangaza nafasi za kazi kumina saba (17). Maombi ya kazi kujaza nafasi ya kazi yeyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa watanzania yeyote mwenye sifa zailizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi zilizotangazwa ni kama ifuatavyo:-


1. MSAIDIZI WA OFISI NAFASI 3
• Kufanya usafi waofisi na mazingira ya nje:
• Kusambaza barua za ofisi kama itakavyoelekezwa.
• Kuchukua na kupeleka majarada ofisi nyingine.
• Kuhifadhi vifaa vya ofisi.
• Kufunga milango na madirisha ya ofisi.
Kazi ya mshahara : TGOS A
Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne IV na awe amefaulu masomo ya hisabati na kingereza ,Kiswahili na hisabati.

SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======

2. KATIBU MAHSUSI III: NAFASI 5
Majukumu:
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka
• Kusaidia kutunza kumbukumbu/ taarifa za matukio , miradi, wageni na taarifa za vikao.
• Kusaidia kupokea wageni na kuwaelekeza.
• Kusaidia kufikisha ujumbe wa mkuu kwa msaidizi wake.
Ngazi ya mshahara: TGS B
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
• Awe amehitimu kidato cha nne IV
• Awe amehudhuria mafunzo ya uhadhili na kufaulu mtihani hatua ya tatu.
• Awe amefaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
• Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za Microsoft office, internet na e-mail na publisher.


SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======

3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 3.
MAJUKUMU
• Awe amehitimu kidato cha nne IV
• Awe amehitimu mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu / majalda yanayohitajiwa na msomaji.
• Kuweka majalada katika makundi.
• Kuweka kumbukumbu, barua nyaraka nk. Katika majalada
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka.
Ngazi ya mshahara: TGS B
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
• Awe amehitimu kidato cha nne IV au cha sita VI
• Awe amehitimu masomo ya utunzaji wa kumbukumbu angalau katika ngazi cheti katika mojawapo ya fani za afya, masjala, mahakama au ardhi.


SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======

4. DEREVA DARAJA II: NAFASI 6
MAJUKUMU
• Kuendesha magari madogo na makubwa ya ofisi.
• Awe na leseni ya madaraja ya C
• Awe na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali.
• Awe na cheti cha majaribio ya ufundi daraja la IIa au zaidi.
• Awe na cheti cha mafunzo ya juu ya udereva wa magari daraja la II (advanced drivers cource grade II) kutoka chuo cha NIT ( national institute of trnsport) na vyuo vingine vinavyotambuliwa watapewa kipaumbele.

SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======
MINISTRY OF FINANCE
EDF- PROGRAMME SUPPORT UNITY

JOB TITLE; FINANCE OFFICER
The programme Support Unit for European Development Fund in Tanzania is established within the External Finance Division of the Ministry of Finance. Its main role is to facilitate efficient effective utilization of the - EU Cooperation. The Unit is inviting applications from dynamic, energetic and proactive Tanzania with required technical skills and experience to fill the Finance Officer post.
Summary of duties and responsibilities
• Participate in identification and formulation of EU funded projects and programs
• Prepare payment orders for projects and programmes
• Participate in project monitoring and evaluations
• Prepare accurate and timely payment vouchers and dossiers
• Prepare reconciliation statements for all bank accounts and petty cash
• Facilitate closure of commitments after audit or expenditure verification
• Prepare and review project budgets
• Prepare monthly, quarterly, semi-annual, annual reports
• Other duties assigned by the Management
Minimum qualifications and experience
• Professional qualification e.g CPA / ACCA
• Degree/Advanced Diploma in Accounting/ Finance/ Business Administration
• Skills in Computer applications and Accounting packages. Knowledge in Microsoft Navision ERP will be considered as as added advantage.
• Applicant should have at least five (5) years working experience in Accounting/ Finance/ project management. Experience in working with Donor funded projects will be considered as added advantage
Employment conditions
• Renewable contract terms with competitive remuneration package.
To apply
Qualified candidates are invited to submit – by hand or postal address indicated below – an application letter, complete Curriculum Vitae, copies of academic certificates, names, addresses, tel/mob. Numbers of two referees before 15th November 2014.
Only qualified candidates should submit their applications, and only shortlisted candidates would be notified.
All applications should be addressed to
DEPUTY NATIONAL AUTHORIZING OFFICER- EDF
MINISTRY OF FINANCE PROGRAMME SUPPORT UNITY
MADARAKA AVENUE
P.O.BOX 1851
DAR ES SALAAM
SOURCE; DAILY NEWS, NOVEMBER 3, 2014.
===============

Previous
Next Post »
Thanks for your comment

Don't Forget To Join US Our Community
×